BM BMB Magazine MAMBO AMBAYO NITAMFUNDISHA BINTI YANGU. Naogopa kuhusu wanaume ambao watajaribu kumtreat kama mzigo, kumtumia kama kitu tu, na kumwacha. Nina wasi wasi pindi ambapo atakapoondoka…