AI ME Metranatz Dhana ya muziki biashara na mapokeo tofauti kwa wasanii wengi. Neno muziki biashara limekuwa ni neno linalosikika mno kutoka kwenye vinywa vya wengi hasa wasanii na watu wa vyombo vya habari.
ME Metranatz Tunapaswa kushukuru kuwa na G Nako katika uwanja wa muziki hapa Tanzania. Sisi hatuna namna ya kueleza upana wake, ila tunaheshimu na kufurahi muziki wake. Kwa maana hakuna neno wala semi itayozidi uwezo wa G…